Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

1977
Ladha kamili inayoridhisha zaidi
IMG20241110173954.jpg
 
Mi ukitaka nisiondoke bar dj apige hizi ngoma..nitaondoka kesho aisee
 

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
Mkuuu hizi chupaa ninecehekaa sanaa

Majuziii nilikuwa kwenye sherehee huko mlimani City waty wanaondoka wanasachiwa mkuu ziliwekwa pembeni kama chupa 130 za aina hii balaaa nikicheka sina mbavu wakioweka kwenye makoti kwenye vyupii weee toaaa
 
Mkuuu hizi chupaa ninecehekaa sanaa

Majuziii nilikuwa kwenye sherehee huko mlimani City waty wanaondoka wanasachiwa mkuu ziliwekwa pembeni kama chupa 130 za aina hii balaaa nikicheka sina mbavu wakioweka kwenye makoti kwenye vyupii weee toaaa
Hah ah haha aha
 
Back
Top Bottom