MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,209
Ndugu wanajamii,
Nimeanzisha hii mada ili tuweze kubadilisha uzoefu kwa wale waliowahi kutembelea China au wenye kupanga kwenda China kibiashara au kimatembezi.
Binafsi napenda sana kutembelea china hasa maonesho ya Canton Fair.
Naomba wenye uzoefu katika jambo hili, muweke uzoefu wenu, hasa katika maisha ya kawaida ndani ya China.
Taarifa kadhaa nilizo nazo ni pamoja na:
Nauli nenda rudi ni karibu mil 3.5 za Kitanzania.
Visa ni karibu dola 130 hivi
Chanjo ya covid ni lazma.
Karibuni tuendelee kuepeana uzoefu!
Asante.