MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,209
china haiiikaribii Africa kijograhia, Afrika ni kubwa sanaKwa upendo wako nilikwenda Guanzhou kwa wiki moja kibiashara may 2023, kwa ufupi China ni kubwa mno (inakaribia Africa) hivyo inataka uwe na adress ya chimbo unalofata mzugo, kinyume na hapo utageuka mtalii.
Unaweza uliza zaidi nikajibu yale ntayoweza
Asante mdau.Kwa upendo wako nilikwenda Guanzhou kwa wiki moja kibiashara may 2023, kwa ufupi China ni kubwa mno (inakaribia Africa) hivyo inataka uwe na adress ya chimbo unalofata mzugo, kinyume na hapo utageuka mtalii.
Unaweza uliza zaidi nikajibu yale ntayoweza
Sijawah hata kufika.Uko upande upi mkuu,unajiaandaa kwenda au ulishawahi kwenda?
Nikipata wasaa nitaandika experience yangu.Sijawah hata kufika.
Niko marangu na nataka niende mwishoni mwa mwezi huu