Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

John Magufuli raisi alieongoza Tanzania kwa muda wa miaka 5 na miez 5 tu lakini alifanya mazuri Mengi yenye kujenga taifa lake ni rais aliependwa na wengi sio nchini kwake tu bali hata Africa na dunia nzima, wengine ilifikia hatua mpaka kutaman akaongoze nchi zao walau ata kwa muda wa miez 6

Mzalendo wa kweli na mwenye uchungu na taifa lake alifariki 17/3/2021 lakini mpaka leo kifo chake kimezua maswali mengi yenye utata kwa watu duniani koteView attachment 1798276

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment ilibidi iwe namba moja kabisa
Moderator fanyeni jambo
 
Mchoro picha ya mwanasiasa na mwandishi na pia mwanafalsafa wa Italy Nicolaus Machiavelli.

Moja ya falsafa yake katika siasa na utawala na pia maandiko yake aliwahi kusema , mwanasiasa au mtawala anapaswa kuwa mwenye kupendwa na mwenye kuhofiwa, alishauri heri awe mwenye kuhofiwa kuliko kupendwa kwa sababu haiwezekani kuwa na zote kwa wakati mmoja.
nicholas-machiavel-portrait-di-tito.jpg
 
Back
Top Bottom