Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Hii comment ilibidi iwe namba moja kabisa
Moderator fanyeni jambo
 
Mchoro picha ya mwanasiasa na mwandishi na pia mwanafalsafa wa Italy Nicolaus Machiavelli.

Moja ya falsafa yake katika siasa na utawala na pia maandiko yake aliwahi kusema , mwanasiasa au mtawala anapaswa kuwa mwenye kupendwa na mwenye kuhofiwa, alishauri heri awe mwenye kuhofiwa kuliko kupendwa kwa sababu haiwezekani kuwa na zote kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…