Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna vitu vinatatiza sana! Kwanini raha usijipe mwenyewe? Kwanini ufe na stress?
Unagharamia mawasiliano
Unagharamia usafiri
Unagharamia vinywaji
Unagharamia vyakula
Unagharamia malazi/pa kulala
Halafu mtu anataka raha apate yeye[emoji23] Raha jipe mwenyewe kwakuwa umefanya uwekezaji wote mwenyewe!
Anayetaka naye kupata raha basi naye awekeze..!
Kina mario wanapojipinda kunako tambua sio bure! Wanahudumiwa..hivyo lazima waoneshe ufundi mfadhili apate raha..[emoji23]
Kama umehudumia mwanzo mwisho, raha jipe mwenyewe..hakuna haja ya kujikunja sana..kuna vitu sio vya kushindana navyo...na akikwambia yeye bado..mwambie wewe tayari..[emoji23] Akitaka raha mshauri next time afadhili pambano..!
Msinipige mauwee ni mada ya magamu! Kwaherini[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]