Mada magamu (magumashi)

Mada magamu (magumashi)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna vitu vinatatiza sana! Kwanini raha usijipe mwenyewe? Kwanini ufe na stress?
Unagharamia mawasiliano
Unagharamia usafiri
Unagharamia vinywaji
Unagharamia vyakula
Unagharamia malazi/pa kulala
Halafu mtu anataka raha apate yeye[emoji23] Raha jipe mwenyewe kwakuwa umefanya uwekezaji wote mwenyewe!

Anayetaka naye kupata raha basi naye awekeze..!
Kina mario wanapojipinda kunako tambua sio bure! Wanahudumiwa..hivyo lazima waoneshe ufundi mfadhili apate raha..[emoji23]

Kama umehudumia mwanzo mwisho, raha jipe mwenyewe..hakuna haja ya kujikunja sana..kuna vitu sio vya kushindana navyo...na akikwambia yeye bado..mwambie wewe tayari..[emoji23] Akitaka raha mshauri next time afadhili pambano..!

Msinipige mauwee ni mada ya magamu! Kwaherini[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Dah...umeandika kwa uchungu mkubwa Profesa....nchi nzima imezizima ....chozi la mtu mzima......si bure..... Japo anayemlipa mpiga zumari ndiyo anayechagua wimbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Japo anayemlipa mpiga zumari ndiyo anayechagua wimbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji625][emoji419][emoji23][emoji23]
 
Kwa umri wako sahihi ila kwa sisi vijana halitufai

Back
Top Bottom