Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

Shida ni kuwapata hao mabikira sasa
Coz unaanza kumpenda mtu then unakuja kugundua sio bikira baadae so utafanyaje, ukianza kutafuta bikira na wewe mwanaume upo na miaka 29 utapoteza muda
 
Mahalo siwezi lipa kamwe huku ninakoishi sijawahi kuona mwanamke au mke wa mtu akose mchepuko Yani no sehemu inaongoza kwa ngono Tena wanajisifia nishatembea nayule uusi mtu
 
Ukweli mtupu
 
MIMI HUWA NAPINGA MAHARI KWA SABABU ZIFUATAZO:-

1. Naiona kama ni udhalilishaji dhidi ya mwanamke. Kwamba, mwanamke anafanywa au kulinganishwa na bidhaa. Fikiria jinsi ndugu wa pande zote wanapokutana na kuvutana kiasi cha mahari. Inafikia wakati mzazi analinganisha matunzo, malezi na hata gharama za kumsomesha mtoto wa kike (ilihali hata mzazi wa mtoto wa kiume kahangaika kwa mambo hayohayo). Mwanamke kama binadamu hapaswi kulinganishwa/kuthamanishwa kama bidhaa, maana thamani ya ubinadamu hailinganishwi na chochote.

2. Katika jamii nyingi, baba wa mtoto wa kiume ndiye mwenye jukumu la kutoa mahari, yaani hutumia mali zake (mifugo au fedha) kumlipia/kuwalipia vijana wake wa kiume ili wapate wanawake. Ndiyo sababu kwa jamii za Wakurya kuwa na watoto wengi wa kiume ilionekana ni hasara (enzi hizo) kwa mzazi kwa kuwa atapunguza mifugo zizini mwake. Lakini kuwa na watoto wengi wa kike ilionekana ni neema kwa mzazi kwa kuwa ataongeza mifugo zizini mwake. Sasa leo hii mambo yamebadilika; utakuta kijana wa kiume anatafuta mahari kivyake, kisha anampa mzazi wake ili akamlipie mahari. Kwa hiyo hapo kijana anakuwa amejiozesha na siyo kaozeshwa na mzazi wake! Kwangu mimi hili jambo haliko sawa.

3. Ulipaji mahari toka upande mmoja kwenda mwengine (ME to KE), inapingana na dhana ya usawa wa kijinsia. Kama tunaamini jinsia zote ni sawa, kwa nini mmoja amlipe mwingine?

4. Urejeshaji mahari kwa ndoa zilizovunjika. Hapa ndipo huwa nashangaa; kwamba wanandoa wakishindwa kuishi na kuamua kutengana, eti muoaji hudaiwa arejeshe mahari, kana kwamba hiyo mahari iliwekwa hapo kama rehani...ipo siku itarejeshwa...!!! Jambo hili hunikera saaanaaaaa!

NAUNGANA NA WOTE WANAOPINGA MWANAMKE KULIPIWA MAHARI. MIMI SIKUWAHI KULIPA MAHARI NA TUNAISHI VIZURI MIAKA 26 SASA..NA KWA WATOTO WANGU WA KIKE SITEGEMEI KUPOKEA MAHARI....
 
Ukiongea kitu fikilia kwanza familia yako dada yako na kesho ukija zaa watoto wa kike najua hawatokua mabikra kwa akili izo za baba yao
 
Ukiongea kitu fikilia kwanza familia yako dada yako na kesho ukija zaa watoto wa kike najua hawatokua mabikra kwa akili izo za baba yao
Kwaiyo tufumbie macho umalaya kwa sababu kuna uwezekano na mabinti zetu wakaja kuwa malaya?

Hauoni kwamba tukikemea umalaya sasa hivi hao mabinti watakuja kuikuta jamii ambayo haina malaya?

Tuache umalaya uendelee kuongezeka kwa kuogopa mabinti zetu nao watatumbukia kwenye umalaya au tukemee umalaya ili mabinti zetu waikute jamii ya wanawake wanaojitunza?
 
Ukiongea kitu fikilia kwanza familia yako dada yako na kesho ukija zaa watoto wa kike najua hawatokua mabikra kwa akili izo za baba yao
Wewe kama umeuziwa mali used kwa mamilioni ya pesa tulia. Siku ukisikia anakuomba ruhusa kwenda kwao au kwa rafiki yake ujue anakwenda kuigawa kwa yule aliyempa chips na kumtoa bikra.
 
Kwa hakika ukioa msichana asiye na bikra maana yake umeoa malaya au umeoa mke wa mtu.
RoDrick RaY
 
Malaya wa kwanza ni sisi wanaume.
Basi acheni kutongoza mabinti wa watu na kuwadanganya mtawaoa kesha mnawarubuni kwa maneno wawavulie chupi wakishawavulia chupi mnawatosa.
Unakuta mabinti wengine wastaarabu ila vijana washenzi mnawaharibia sifa yao na kuwakimbia.
Tulizeni kwanza hizo filimbi zenu muone kama mabikra hawatopatikana.
Unaongea hivyo usikute umeshawalaghai mabinti wengi na kuwanajisi hadi sasa.
 
Kwani si tulikubaliana ni mwendo wa kukataa ndoa.

Na tukasisistiza zaidi HAKUNA KUOA SINGO MAZA... Hakuna kulea shahawa za mwanaume mwenzako 🤳
 
Mkuu bado tu hujajua kutofautisha nyapu ya bikira na iliyo chovywa chovwa??... Basi bado una safari ndefu komrade
 
Kwa waislamu mahari ni hongo kwa sababu anachukua muolewaji..
Mahari zawadi ya yule anayeolewa.
Sio hongo.
Hongo hutolewa kwa kitu cha haramu sio halali.
Rekebisha kauli,mahari anatakiwa apokee mwanamke kama zawadi yake,uamuzi wake kama awape wazee ama laah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…