Mada Mezani; Ni lipi lifanyike juu ya haya mambo ya kijamii?

Mada Mezani; Ni lipi lifanyike juu ya haya mambo ya kijamii?

Afro king

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
445
Reaction score
455
Asalam aleykum ..wakuu

Natumain nyote kwa ujumla wazimaa na kam kuna ambae anaumwa M/Mungu amponyeshe🙏

Nilikuwa na maswali mawili najiuliza sana na sipati majibu kwa kweli nimeona niwaulize wenzangu may be mtakuwa na majibu ya aya maswali..

1. Kwanini ivi sasa mauwaji ya baina ya mke na mume kuuwana yameongezekaa ?? Maraa dsm mara mwanza mara moshi n.k

2. Kwanini jambo la wanaume watu wazima kuwalawiti watoto wadogo bila ata kufikiria athali anazomuachia mtoto ?? Je inaweza ikawa ina sababishwa na ushirikina au ni nini ??

3. Kwanini watu wamekuwa addicted na swala nzima la kuuwa watu na kutoa viungo vya watu hao kwamfano previous week ilitokea uko kigoma watu wamekamatwa na mbavu na baadhi ya viungo vya binaadam ??

4. Ni lipi lifanyike kuepusha aya yotee kwa ujumla ila mambo aya ya sije kuendelea katika jamii

N.B; Kama kuna mwenye nyongeza ya maswali ya kijamii yanayo mtatiza na yanazidi kuwa chronic aongeze swalii
 
Hili lilifaa liende majukwaa ya kutumia akili sana! Ndio utapata wachangiaji!!
 
Chuki, dharau na majivuno, na tatizo lingine binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom