Justine Kakoko
Member
- Oct 5, 2018
- 33
- 58
Umeisoma makala yote? Mtoto anayechelewa kuongea huwa katika hatari ya kuwa nyuma katika kila kitu. Nimesaidia watoto wa namna hiyo, kama haujawahi kusaidia wala kuwa na mtoto wa namna hiyo unaweza usione uzito wa tatizo. Usipende kurukia hitimisho rahisi kwenye matatizo sensitive kama haya kwani kuna wazazi hawalali kisa matatizo kama haya.Kama anachelewa ila mwisho wa siku anaongea, sioni tatizo kivile.
Mbona umepaniki kiasi hiki? Hujiamini? Sijatukana, sijatumia maneno makali. Tatizo nini mkuu? Naona dalili za ulichelewa kuongea wewe mpaka unafika ukubwani. Sasa uzi wako una maana.Umeisoma makala yote? Mtoto anayechelewa kuongea huwa katika hatari ya kuwa nyuma katika kila kitu. Nimesaidia watoto wa namna hiyo, kama haujawahi kusaidia wala kuwa na mtoto wa namna hiyo unaweza usione uzito wa tatizo. Usipende kurukia hitimisho rahisi kwenye matatizo sensitive kama haya kwani kuna wazazi hawalali kisa matatizo kama haya.
TV inarudisha sana maendeleo ya ukuaji wa ubongo wa watoto. Nimefanya diagnosis kwa watoto wengi wenye tatizo hili, chanzo kwa wengi nimebaini ni TV. Nitaandika makala juu ya hili nikipata wasaa.Hapo kwenye tv Ni vp mmana mtoto nahc watoto wengi hasa wa mjini huwa wanashinda kwenye tv
Sijapaniki, ni ngumu kupaniki kwa jambo dogo kiasi hicho. Nimeonesha msisitizo tu. Umeonesha mzaa kwenye jambo ambalo hauna uelewa nalo. Kuna wengine huwa hadi mabubu kwa kuchelewa kuongea tu, bila ya kutafutiwa tiba mapema.Mbona umepaniki kiasi hiki? Hujiamini? Sijatukana, sijatumia maneno makali. Tatizo nini mkuu? Naona dalili za ulichelewa kuongea wewe mpaka unafika ukubwani. Sasa uzi wako una maana.
Ndiyo. Nipo mtaani pia. Nawasaidia wazazi/walezi juu ya mambo mbalimbali ya watoto kila siku isipokuwa baadhi ya masuala yahusianayo na Afya ya mwili.Justine Kakoko kuna watoto wenye changamoto za namna hii mitaani/majumbani, je wewe ni mtaalamu wa matatizo haya ??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naandika mara kwa mara hapa. Nitaandika juu ya suluhisho muda ujao. Ninaenda kuedit hitimisho ili watu wajue kuwa nitaandika wakati ujao. Japo napendekeza utumie lugha nzuri, hakukuwa na haja ya kejeri. Tumia lugha nzuri muda ujao kama ipo kwenye sehemu ya maadili yako.Nilitegemea mtoa mada utaweka na solution ya tatizo hili matokeo yake umekuwa sawa na wale wapiga ramli
Sent using IPhone X
Rejea kwenye jibu nililompa mwenzako!Na mimi wakwangu Anamiaka hivyo hivyo,na tabia kama hizo hizo ulizozisema,,,kwakweli sijui tunafanyeje hapa,,,
Mtaalam ebu tupe namna tufanyeje wenda tukapata njia.
Binafis nahangaika sana na mtoto wangu ..amechelewa kuongea ila pia haelew..mkuu tunaomba nini yapaswa tufanye kuongoa janga hili
Sent using Jamii Forums mobile app