MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Mama akuma chini 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Alafu mkuu....
Kwenye swala la malezi, nakushauri sana uachane na fikra za majirani.
Mlee mwanao kwenye maadili ambayo wewe unaona yanafaa na pia wafundishe wanao nidhamu pamoja na kumjua Mungu
Kweli kabisa mkuu ila kuna wakati nashindwa kujizuia nafikiria labda mwanangu ana tatizo
 
mwanangu alikuwa na miaka 2.5 akawa hajui kuongea yani Zaidi ya kuita mama ishu kubwa alikuwa anashinda na dada wa kazi tu ndani lakini baada ya kumpeleka baby care aisee ni chiriku japo anachoongea hakipo straight so umri bado sana kuongea ni moja ya matendo yanayohusisha long time learning na ubongo hasa so sio simple tu kuweza kuamza kuomgea mapema hasa kama hashindi na kucheza na watoto wenzie.
 
Unahisi atakua bubu?
Muangalieni kama ulimi unanyanyuka hauna kinyama kwa chini,
Lakini nikutoe hofu tu miaka miwili bado mdogo sana kuweza kupata wasi wasi kua haongei, watoto wa ndugu zangu waliongea na miaka minne, wao walikua wanaongea lugha wanazozijua wao tunasema makorokocho,

Daycare inasaidia pia, mpeleke lakini usiwe na haraka nae ataongea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwaongelesha watoto wachanga kila mara na wanavyoendelea kukua husaidia sana katika kuharakisha kuongea kwao kwa wengi wao. Usikute huyo dada wa kazi alikuwa hamuongeleshi kabisa.
 
Hahahahaha nani kamchafua Akuma Mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚ natumai yuko vizuri sana sasa hivi.
Kabisa mkuu, kijana ana afya njema and he's one of the best student kwa class
 
Reactions: BAK
Kuwaongelesha watoto wachanga kila mara na kardinaal wanavyoendelea kukua husaidia sana katika kuharakisha kuongea kwao kwa wengi wao. Usikute huyo dada wa kazi alikuwa hamuongeleshi kabisa.
hata wazazi wengi hwawaongeleshi watoto wao wanaongea maneno mara chache sana kuwakataza labda na kuwaambia waseme majina ya vitu.
 
Achana na maneno ya majirani kwenye malezi, watakupoteza! Lea mtoto vile waona sahihi kwako.

Nyanyua ulimi kama hana uzi au peleka kwa daktari wa watoto amkague! Kama hana shida ataongea tu! Mie nilikuwa na wazee (bibi na babu zake) walimkagua wakasema yupo poa. Siyo madaktari ila uzoefu wa wazee, wengi tunawazarau ila wanajua mengi sana.

Kama hana shida, nunulia mtoto michezo mbalimbali kuvuta watoto rika lake kuja kucheza nae, watoto wakija andaa kama kisherehe wanaimba, kuongea na kucheza!! Unawapa popcorn na biscuits tu + juice labda na vipipi!!

Muda mfupi tu! Ataongea! Sometimes hana watoto wenzie wanaomchangamsha. Unakuta anashinda na watu wazima ambao mtoto akiongea hawana time nae ya kumsikiliza, kumjibu au kumuongelesha!! Anaacha kuwa na hiyo bidii. Mwisho wa siku anachelewa kuongea
 
Yes say care inasaidia lakini ukipata muda ongea nae Kiingereza, daddy, mummy, soap evt. Aliweza kuunganisha manemo mawili kama daddy soap ni dalili ataweza sentence.
Mama yake anamsomeaga moja, mbili... Hadi 10
Kuna wakati tunamsikia anayarudia kwa tabu ila ni mara chache sana ukitaka arudie harudii hadi wakati mwingine tunakua wala hatutarajii
 
Inategemea NZANZI na NZANZI Mkuu πŸ˜‚
hata wazazi wengi hwawaongeleshi watoto wao wanaongea maneno mara chache sana kuwakataza labda na kuwaambia waseme majina ya vitu.
 
mkuu mm wangu ana miaka mi 4na miez miwili n wa kike.. lakin anaongea mambo ambayo ata hayaelewek. kuunganisha maneno hawez kabixa. lakin baba mama dada kaka bibi anajua kila kitu
Wewe mwenyewe hujui Sasa mtoto utamsaidiaje maana uandishi wako ni wa ajabu mwanao atajifunza kwa Nani?
 
Naskia eti watoto wakila nyama za utumbo wanachelewa kuongea.

Ila huyo ataongea bado ni mdogo. Mtoto wa mdogo wangu aliongea akiwa na 3yrs. Alivyoanza kuongea tulifurahi sana simu zilipigwa kila kona tukipewa hiyo habari.

Na alivyoongea neno moja alianza kunganisha maneno ndani ya mwezi tulishangaa.

Kwa sasa anaongea hadi kero tunajiuliza analipizia ule muda aloupoteza bila kuongea. Maswali, nyimbo, kelele ni yeye.

N.b muangalie chini ya ulim kama kuna dadude wakakate hospital. Kama hakapo kuwa na subira ataongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…