James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Kabla ya kuendesha pikipiki hasa hizi za kupiga kiki hakikisha kibofu cha mkojo na bowel viko empty, vingenevyo unaweza chafua hali ya hewa
Wana Jf Nina pikipiki aina ya skymark comuter .. inasumbua tapet yaani kila nikikaza nikitembea km 50 tu zinaanza kulia tena..na pia engine ikiwa umepoa gazilii ila ikishapata moto engina inalia kama cherehaniWadau nadhan mada nyingi zimekuwepo zinazohusu hasa Magari.
Lakini mada ya kuhusu pikipiki sijawahi kuiona ukizingatia Tanzania kuwa na wapenzi wengi watumiaji Pikipiki.
Naam, kwa hali hiyo naomba thread hii iwe msaada kwa wale wote wenye maswali, uzoefu kuhusu pikipiki.
Tusaidiane kufundishana na kufahamishana lolote linalohusu pikipiki.
Nawasilisha.
Nami nina Yamaha Ag200 tatizo ni kama la kwako, mafundi wameniambia kem imechimbika, so hata hiyo ya kwako tatizo litakua ni hilo hilo la kem shaft. Hebu jaribu kubadilisha hiyo kem afu ulete mrejesho.Wana Jf Nina pikipiki aina ya skymark comuter ..inasumbua tapet yaani kila nikikaza nikitembea km 50 tuu znaanza kulia tena..na pia engine ikiwa umepoa gazilii ila ikishapata moto engina inalia kama cherehani
Mimi naualiza kuhusu honda twister 250 uimara wake na bei yake mpyaWadau nadhan mada nyingi zimekuwepo zinazohusu hasa Magari.
Lakini mada ya kuhusu pikipiki sijawahi kuiona ukizingatia Tanzania kuwa na wapenzi wengi watumiaji Pikipiki.
Naam, kwa hali hiyo naomba thread hii iwe msaada kwa wale wote wenye maswali, uzoefu kuhusu pikipiki.
Tusaidiane kufundishana na kufahamishana lolote linalohusu pikipiki.
Nawasilisha.
Jibu sidhani kama nitakuwa nalo ila nimeungana na we kwenye huo mlio kama cherehani[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wana Jf Nina pikipiki aina ya skymark comuter ..inasumbua tapet yaani kila nikikaza nikitembea km 50 tuu znaanza kulia tena..na pia engine ikiwa umepoa gazilii ila ikishapata moto engina inalia kama cherehani
not more than 2 yearsIvi pikipiki ya Boxer zinakaaa mda gani? Kama inafanya biashara. Maeneo ya apa Dar es salaam Tanzania. Kwa maeneo ya rami rami tofauti na sehemu nyingine za off-road
Ukitakan usolve badili kila kitu anza na valve, valve sily,piston ring kama cylinder haijatanuka.Nina pikipiki aina ya bajaj boxer 150cc.ina miaka miwili.nimeitumia sana .ila kuna mafundi wa kijijini wameshindwa kuifunga ring piston.kila wakifunga inatembea wiki moja inaanza kutoa moshi.mwanzo nilizani tatizo ni block .ila nikanunua block orijino bado tatizo lipo pale pale.najiuliza nini tatizo.nipo mwanza fundi mwenye uzoefu mkubwa naomba tuwasiliane aje anifungie
mwambie fundi wako aangalie gasket kama zipo vizurWadau pikipiki yangu aina ya Yamaha Ag200 ina tatizo la oil kutoka kwenye injini na kumwagika nje kupitia kwenye air cleaner. Nimeshawahi kubadilisha valve seals lakini tatizo bado lipo pale pale. Naombeni msaada ili nijue tatizo ni nini.