bawad sabas
Member
- Feb 3, 2021
- 65
- 55
Pikipiki yangu aina ya TVS inapiga kelele kwenye cabulator je tatzo n nn maana mafundi wa kuku wamechemka.
Kila ninapoenda cabulator inafunguliwa na kusafishwa ila bado hali ni ileile
Naomba msaada
Kila ninapoenda cabulator inafunguliwa na kusafishwa ila bado hali ni ileile
Naomba msaada