Mada: Ushauri, maswali yoyote ya kiufundi kuhusu pikipiki aina zote

Pikipiki yangu aina ya TVS inapiga kelele kwenye cabulator je tatzo n nn maana mafundi wa kuku wamechemka.
Kila ninapoenda cabulator inafunguliwa na kusafishwa ila bado hali ni ileile

Naomba msaada
 
Pikipiki yangu aina ya TVS inapiga kelele kwenye cabulator je tatzo n nn maana mafundi wa kuku wamechemka.
Kila ninapoenda cabulator inafunguliwa na kusafishwa ila bado hali ni ileile

Naomba msaada
labda ungetoa ufafanuzi zaidi

inapiga kelele kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…