HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,192
- 3,486
Vipi umewahi kutafakari kuhusu ule umati ambao huwa unakusanyika kwa Mwapos* na kinachoendelea pale kama zile shuhuda ambazo waumini huwa wanazitoa na kuhusu ukweli wake?Belief in supernatural powers ina exist.
Hizo supernatural powers ukiwabana wanaoziamini wazielezee kama zipo kweli mpaka sasa hawawezi.
Hoja haipati uthabiti kwa kuwa inakubalika na umati.Vipi umewahi kutafakari kuhusu ule umati ambao huwa unakusanyika kwa Mwapos* na kinachoendelea pale kama zile shuhuda ambazo waumini huwa wanazitoa na kuhusu ukweli wake?
Sikai mbali na hapo.. 99% ya shuhuda ni utapeli ulaghai na hallucinationsVipi umewahi kutafakari kuhusu ule umati ambao huwa unakusanyika kwa Mwapos* na kinachoendelea pale kama zile shuhuda ambazo waumini huwa wanazitoa na kuhusu ukweli wake?
Hoja haipati uthabiti kwa kuwa inakubalika na umati.
Kwa sababu inaweza kukubalika na umati wa wajinga.
Argument from popularity logical fallacy.
Huwa natafakari, kundi kubwa la watu wanaotoa ushuhuda, ikiwa si kweli, je, huwa wanadanganya kwa maslahi ya nani?Sikai mbali na hapo.. 99% ya shuhuda ni utapeli ulaghai na hallucinations
Zile shuhuda ni utapeli na ni maigizo, kuna watu wanapangwa na wanalipwa.. Halafu wengine wakiwaona hao makanjanja wanajiunga nao bila kujua ukweliHuwa natafakari, kundi kubwa la watu wanaotoa ushuhuda, ikiwa si kweli, je, huwa wanadanganya kwa maslahi ya nani?
Au labda kuna uwezekano kwamba Mwampos* na watoa ushuhuda ni kitu kimoja, kwamba yote wanayofanya ni maigizo tu, yaliyopangwa kwa makubaliano yao? Na wote wanakuwa ni wanufaika wa kile wanachofanya kupitia hadhira wanayoilaghai.
Uchawi ndani ya dini