Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #21
Haha
Kidagaa kimeanzisha uzi wa ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidagaa kimeanzisha uzi wa ndege
Hana jina?View attachment 3202065
ndege arukae mkubwa kuliko wote
View attachment 3202066
wingspan ya zaidi ya futi 10(karibia mita 3)
a truly majestic bird
Secretary birdView attachment 3202030
Jina lake 😂
Ndege Ana pumb kwa koo
EagleView attachment 3202065
ndege arukae mkubwa kuliko wote
View attachment 3202066
wingspan ya zaidi ya futi 10(karibia mita 3)
a truly majestic bird
![]()
![]()
Peregrine Falcon
Ndege mwenye kasi zaidi duniani akiruka kwa ku dive hadi kufikia speed ya 390km/hr.
Huyu ndege anawinda ndege wenzake na anawala, anakula bata na popo pia, anapenda kula njiwa na ndicho chakula anapenda, anakula ndege wa aina nyingi.
Kutokana na kasi yake kubwa wakati wa mawindo humfanya kushambulia kwa urahisi ndege wakubwa zaidi kuliko yeye, Peregrine falcon ana kucha zenye ncha kali na mdomo wenye nguvu.
Ni ndege hatari. akiwa anawinda huruka juu sana halafu anaanza kushuka kwa kasi na kushambulia windo lake, speed anayopita nayo ni kama upepo. Ndege anayeshambuliwa haelewi anashambuliwa na kitu gani na kinatokea upande upi tokana na speed yake.
View: https://www.youtube.com/watch?v=73OvZ_l35Sw
View: https://www.youtube.com/shorts/0yimxd_tOPY
Ndio, huyu ni aina ya kipanga.Huyu ni tofauti na eagle?
Ndio, huyu ni aina ya kipanga.
Kuna eagle pia ni hatari wanaitwa golden eagles, huyo golden eagle ana uwezo wa kubeba mbuzi , mbwa au mbwa mwitu na wanawinda mbwa mwitu, ni ndege mwenye kasi sana na nguvu sana. Anaweza beba mbwa mwitu akaruka nae juu. Ana umbo kubwa na mbawa kubwa.
Falcon ni hatari lakini kwa eagle ni habari nyingine....
Hii video hapa chini eagle anataka sungura ambae mbwa mwitu kamkamata, eagle akabeba wote sungura na mbwa mwitu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=HQNh9Adg3L0
View: https://www.youtube.com/shorts/KTI374P46sY
View: https://www.youtube.com/shorts/BF5F2_rYxc4
![]()
Hana jina?
The Andean CondorEagle
![]()
![]()
Peregrine Falcon
Ndege mwenye kasi zaidi duniani akiruka kwa ku dive hadi kufikia speed ya 390km/hr.
Huyu ndege anawinda ndege wenzake na anawala, anakula bata na popo pia, anapenda kula njiwa na ndicho chakula anapenda, anakula ndege wa aina nyingi.
Kutokana na kasi yake kubwa wakati wa mawindo humfanya kushambulia kwa urahisi ndege wakubwa zaidi kuliko yeye, Peregrine falcon ana kucha zenye ncha kali na mdomo wenye nguvu.
Ni ndege hatari. akiwa anawinda huruka juu sana halafu anaanza kushuka kwa kasi na kushambulia windo lake, speed anayopita nayo ni kama upepo. Ndege anayeshambuliwa haelewi anashambuliwa na kitu gani na kinatokea upande upi tokana na speed yake.
View: https://www.youtube.com/watch?v=73OvZ_l35Sw
View: https://www.youtube.com/shorts/0yimxd_tOPY
Anawatendea wenzie ukatili sanaMjinga huyu,ila nae atakufa
Picha za ndege na majina yao zitakuwa katika uzi huu
Myama anayefanana na chitaNje ya mada jaguar ndo mnyama gani?
Ndo anaitwa nani kwa kiswahili?Myama anayefanana na chita
Badala mngeweka ndege wapatikano Tanzania na majina yao mnang'ang'ania kiingereza. Mwewe kwa kiswahili.Eagle