Mada ya vilevi vingine

1. Mie ulevi wangu mkubwa kabisa kwichi kwichi!! Japo kwa sasa nimejitahidi kwa 97% kuizuia nafsi yangu

2. Mpira, hasa kuucheza, bado naudananda japo akili inataka mwili hautaki!

3. Ilikuwa kushi, nimevuta kwa takribani miaka 10 na ushehe mpaka nilipoanua kuacha! Mwaka juzi. Siku hizi imebaki naoasha mara 1 moja tu, kama majuzi na juzi nilipasha moto akili.


Kuogelea na kucheza mziki ni vitu navipenda ila havikufikia kwenye ulevi.
 
Ulevi wangu ni Movies kuangalia,
Ulevi wangu ni Muziki mzuri kusikiliza na kucheza,
Ulevi wangu ni Kuchat, mpaka vidole gumba vinakua vyekundu,
Ulevi wangu ni kula kula bites, naweza nisile siku nzima nikajihisi nimeshiba kumbe nimeshindia crips za viazi na ndizi au ubuyu na biscuit,

Napenda kutunga na kuandika stories sijui kama ni ulevi au kipaji.
 
Dah...yaani zote hizo ni dalili za kuanza kuzeeka 🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]multipurpose
Jr[emoji769]
 
Chochote kikizidi KIASI ni ulevi..
Jr[emoji769]
 

Kula vitu vidogo vidogo kwa maneno ya mtaani kwetu wanaita rumbu rumbu.

Mie huu ugonjwa wa kulumbua ninao!! Ninaweza nikala mlo mzito mmoja tu ama ikizidi mnoo mara mbili basi tena hapo niwe na mtu home wa kunipikia pikia, kama hamna ni mlo mmoja tu basi, kama hapa toka asubuhi nilipata kwenda pwani , nimebugia viazi na samaki, hapa ni mwendo wa kurumbua tu! Nipate juice, nile ice cream n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…