Mada ya vilevi vingine

Mada ya vilevi vingine

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati si milele... Na Tazama siku ya mwisho watu wawili watakutwa kilabuni wakinywa pombe... Mmoja atatwaliwa (mimi) na mmoja ataachwa (wewe) [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]

Jr[emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye ubuyu wa pilipili ushanijaza mate ya uchu kinywani mwangu ujue..

Hapa nishalumbua ndizi mbili, muuza ice cream wa bakhresa kapita kanilingishia kuna mpya za tikiti nikaruka nayo moja! Nimegida na juice ya parachichi! Naona dunia inaniendea sawa sawia tu.
Yummy,
Halafu hizo icecream za tikiti nimeziona jana itabidi nionje,
Ni tamu? Zina ladha kama ya tikiti kweli?
20200312_192742.jpeg
 
Sijui kwanini wengi wenu hampendi kale kamchezo[emoji23][emoji23]...au ndo kanaingia hapo kwenye kupenda kulala[emoji23]
1) Napenda kulala

2) Kusikiliza na kucheza mziki

3) Napenda kufatilia fashion things mfano kuna fashion Tv wanaonesha nguo nguo za ajabu unique yaani,viatu nk naenjoy sanaa

4) Napenda kula pia[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine ulevi wao huu hapa
tapatalk_1584028912987.jpeg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom