Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] BazaziAisee mimi demu kama ana chura nikipishana nae ata kama npo na wife nkishindwa kujeuka ntajidai nafunga kamba za viatu ilimrad nitazame chura japo sinaga matumizi nayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Ibada na kusali [emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Unaenda kwenye mada husika upande wa juu kulia kuna dot tatu za kushuka chini.. Unazibofya na kuchagua COPY URL unabofya tena halafu unaenda kwenye reply husika huko unashikilia sehemu ya kureply kwa sekunde yanatokea maneno paste unapest
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120][emoji120][emoji736][emoji817]Daktari anafurahia cheo chake, Mwalimu,Mbunge, Rais, Diwani nk, Walevi wanachukia cheo chao! kuitwa walevi, wana majina fiche km kugonga dhahabu!, au maji, kupiga mitungi/urabu nk,
Eti umwite mtu hivi ''wewe mwalimu mlevi vepe!!!! au eti mlevi wa Madaraka,... Dikteta weee! lazima atarusha ngumi uwe kilema au upotee mazimaaa!!!! sasa basi ukichukia cheo chako ni ishara ya Dhambi inakuotea malangoni pako! yapasa uishinde!!!!
Unaenda kwenye mada husika upande wa juu kulia kuna dot tatu za kushuka chini.. Unazibofya na kuchagua COPY URL unabofya tena halafu unaenda kwenye reply husika huko unashikilia sehemu ya kureply kwa sekunde yanatokea maneno paste unapest
Jr[emoji769]
Huu ni ulevi pasi shaka unafaa! wala huoni taabu kujitangaza, kwanza una appetite, watu wengine ipo kwa shida, pili usumbuliwi na mawazo ya kukufanya wewe ukose usingizi, ukipata uthubutu wa kusoma na kujielimisha kwa kupitia Internet,ni kitu ambacho wabongo wengi ni wavivu kukifanya, usikatishwe tamaa eti wapoteza muda, ra hasha endelea baada ya kazi!
Ooh thanksHuu ni ulevi pasi shaka unafaa! wala huoni taabu kujitangaza, kwanza una appetite, watu wengine ipo kwa shida, pili usumbuliwi na mawazo ya kukufanya wewe ukose usingizi, ukipata uthubutu wa kusoma na kujielimisha kwa kupitia Internet,ni kitu ambacho wabongo wengi ni wavivu kukifanya, usikatishwe tamaa eti wapoteza muda, ra hasha endelea baada ya kazi!
Wengine walevi wa kazi hana likizo yeye! akitoka ofisini shambani, akiwa nyumbani huyoo bandani kwa ng'ombe, mara banda la kuku. mara huyoo! yuko Home Garage anabadilisha oil chafu gari lake. mara Dukani kwake ,
Hakika ya Mola Shekhe! huu ulevi ni mzuri ati! hata mtu haoni soni kujitanabaisha kwayo!..... lkn cha pombe karejea maskani? mmmm!
Yees! keep it up,i like it! you gonna! comprehend so many things at large in dis little Jehanum!!!! beyond that grow Big!!!Ooh thanks
Siwezi kaa bila bando yaani
The funniest thing is I rely on Internet mno nikiwa sijaelewa kitu ni kugoogle ASAP .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohh thanks nitaendelezaYees! keep it up,i like it! you gonna! comprehend so many things at large in dis little Jehanum!!!! beyond that grow Big!!!