Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shee wewe sio wa kunifanyia hivyo ujue!!!Shee siku hizi connection zinauzwa ujue
Jr[emoji769]
Abee!
Here i am my shee.Kam siz wei
Jr[emoji769]
Last time niliipatia Dom-2018
.tukikaa pamoja tutachana balaa...jaman kula kula ni km kaulevi kwakweli
Shisha...hii kitu inalewesha
[emoji3][emoji3] kwakweli.tukikaa pamoja tutachana balaa...jaman kula kula ni km kaulevi kwakweli
Kama chocolate 🙃🙃Umewahi ijaribu dyadya?inataste aje?
Potelea mbali bro uchawi hauendi kwa mentalii!Zina mapepo lakini punguza[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Kula ni ulevi??nilikuwa sijui nimejua leoo!.tukikaa pamoja tutachana balaa...jaman kula kula ni km kaulevi kwakweli