Mada ya vilevi vingine

Mada ya vilevi vingine

Hivi bro unafanyaje kupandisha uzi hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaenda kwenye mada husika upande wa juu kulia kuna dot tatu za kushuka chini.. Unazibofya na kuchagua COPY URL unabofya tena halafu unaenda kwenye reply husika huko unashikilia sehemu ya kureply kwa sekunde yanatokea maneno paste unapest

Jr[emoji769]
 
Daktari anafurahia cheo chake, Mwalimu,Mbunge, Rais, Diwani nk, Walevi wanachukia cheo chao! kuitwa walevi, wana majina fiche km kugonga dhahabu!, au maji, kupiga mitungi/urabu nk,

Eti umwite mtu hivi ''wewe mwalimu mlevi vepe!!!! au eti mlevi wa Madaraka,... Dikteta weee! lazima atarusha ngumi uwe kilema au upotee mazimaaa!!!! sasa basi ukichukia cheo chako ni ishara ya Dhambi inakuotea malangoni pako! yapasa uishinde!!!!
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120][emoji120][emoji736][emoji817]

Jr[emoji769]
 
ya maana
Screenshot_2020-03-14-20-34-31.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh njia hii kwenye laptop rahisi ila kwenye simu naona ngumu
Unaenda kwenye mada husika upande wa juu kulia kuna dot tatu za kushuka chini.. Unazibofya na kuchagua COPY URL unabofya tena halafu unaenda kwenye reply husika huko unashikilia sehemu ya kureply kwa sekunde yanatokea maneno paste unapest

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mlevi wa kula , kulala , jf na internet ndo usiseme

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ulevi pasi shaka unafaa! wala huoni taabu kujitangaza, kwanza una appetite, watu wengine ipo kwa shida, pili usumbuliwi na mawazo ya kukufanya wewe ukose usingizi, ukipata uthubutu wa kusoma na kujielimisha kwa kupitia Internet,ni kitu ambacho wabongo wengi ni wavivu kukifanya, usikatishwe tamaa eti wapoteza muda, ra hasha endelea baada ya kazi!

Wengine walevi wa kazi hana likizo yeye! akitoka ofisini shambani, akiwa nyumbani huyoo bandani kwa ng'ombe, mara banda la kuku. mara huyoo! yuko Home Garage anabadilisha oil chafu gari lake. mara Dukani kwake ,

Hakika ya Mola Shekhe! huu ulevi ni mzuri ati! hata mtu haoni soni kujitanabaisha kwayo!..... lkn cha pombe karejea maskani? mmmm!
 
Ooh thanks
Siwezi kaa bila bando yaani
The funniest thing is I rely on Internet mno nikiwa sijaelewa kitu ni kugoogle ASAP .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom