Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Naileta mada hii kwa heshima kuu ya Slim5 aliyeulizia kwenye uzi wa walevi kuwa wasio walevi wakachangie wapi.
Duniani hakuna mtu asiyekosa kilevi chake... Kilevi ni starehe na starehe ni hobby
Kama ulikuwa hujui hata kuua ni starehe.. Kilevi ni starehe na starehe furaha pia... Vilevi maarufu vilivyozoeleka ni pombe na ngono lakini nyuma yake kuna msururu mkubwa.
Kuna baadhi yetu kilevi chetu kimoja tuu
Bangi, sigara, kubeli, mirungi, gozo, ugoro
Kula
Ngono
Chabo
Mpira
mazoezi
JF
Kulala
Uchawi
Umbea, majungu [emoji23]
Wizi
Kujichua
Ubazazi
Mziki, club, vigodoro nk
Basi kwa post hii.. Nawakaribisha wote waliokuwa wanapata tabu ya kukosa uwanja wao.. Hata wale wa vilevi zaidi ya kimoko karibuni tuu
Jr[emoji769]