Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

FB_IMG_1710673466361.jpg
 
USILOLIJUA KUHUSU CHUNUSI WA BAHARINI (ELECTRIC EEL )

samaki huyu kwa mbali anataka kufanana Kidogo na samaki aina ya kambale kwa kawaida hutoa shoti ya umeme aina ya umeme tuli (static electricity) hadi 600V
Kiwango hicho cha umeme kinatosha vizuri kumuuwa binaadamu nakumkausha kabisa hadi kubadilika rangi ndani ya muda mfupi Na kiasi hicho husababisha damu kuganda Mara tu baada ya kumgusa bunadamu Mara nyingi watu hukumbwa na masaibu haya kwenye maeneo Fulani ya baharini Mara nyingi samaki huyu huwa hang'ati hadi umchokoze kwenye maficho
20240318_094542.jpg
20240318_094546.jpg
 
Back
Top Bottom