Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

20241003_024537.jpg
 
Ndege waliozeeka hawawezi kuruka kutafuta chakula. Wanalishwa na watoto wao ambao hawakusoma wala kuhudhuria mihadhara ya dini. Wanajua Jukumu lao. MUNGU anatuonyesha mfano wa ajabu kwa sisi bin Adam. Tuwatunze wazazi/walezi wetu. 😌😌😌
 
Back
Top Bottom