Aseee hii ndo kwanza naona leoNdege waliozeeka hawawezi kuruka kutafuta chakula. Wanalishwa na watoto wao ambao hawakusoma wala kuhudhuria mihadhara ya dini. Wanajua Jukumu lao. MUNGU anatuonyesha mfano wa ajabu kwa sisi bin Adam. Tuwatunze wazazi/walezi wetu. 😌😌😌
View attachment 3118752
Huyu ndo yule wa kuitwa mpinga Kristo ama!