Picha hii ilipigwa na mpiga picha wa Kituruki wakati mbuzi alipojifungua mtoto wake kwenye mlima ulioganda. Ili kuokoa uhai wa mbuzi na mtoto, msichana wa kijiji (mchungaji) alimbeba mama begani na mbwa akamwokoa mbuzi aliyezaliwa kwa kumpanda. Picha hii ni mfano hai wa ubinadamu.