Mada ya wanyama

Mkuu mshana hii ishu ni mapokeo tu lakini hawa wanyama hawana sumu yoyote na nyongo zao ni kama zetu na kazi yake ni kusaidia ufyonzaji wa mafuta kutoka tumboni kwenda kwenye damu.
Mmh ok sawa sawa
 
Moja kati ya jambo la kustaajabisha kwa kiumbe mamba ni kuwa hana ulimi, uchafu anaouzalisha kinywani kutokana na chakula anachokula husafishwa na ndege

Plover Bird ni ndege pekee ambaye huingia kinywani mwa mamba na mamba huwa hamli ndege huyu

Anachokifanya Plover kinywani mwa mamba ni kula uchafu unaokuwa kwenye meno ya mamba, hivyo huwa kama mswaki wake. Yeye hutoka akiwa ameshiba na mamba hubaki na kinywa safi

Ni jambo la ajabu katika utegemezi wa Mamba na Plover Bird kwa kuwa viumbe wengine wakiingia kinywani mwa mamba huwa wanaishia kuliwa credit kwake Analogia Malenga
 
Mkuu Mshana Jr , nimesoma huo uzi uliouanzisha mwaka 2017, miaka miwili kabla sijajiunga jf.

Kwanza nitakuja kueleza kile ninachojua kuhusu Adam na kuhusu Nyoka kwa muktadha wa dini na vipi Mtu aitwe Nyoka.
 

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden?
 
Uajabu si wa ndege huyo tu, wapo ndege wanaokuwa kwenye migongo ya wanyama kazi yao ni kuondoa kupe na wadudu wengine wanaowang'ata wanyama. Kuna ndege ambao huwa mbele ya wanyama malishoni, wale husafisha njia ili wanyama wasiumwe na wadudu wabaya, kuna ndege wanaokuwa juu ya miti karibu na kundi la wanyama kwa ajili ya kuwatahadharisha endapo kuna mnyama anawawinda, huyu hupiga kelele kali inayowashitua na kukimbia kisha naye husepa! Nyani pia huwalinda baadhi ya wanyama wanyonge wasidhurike na wanyama wakali kwa mtindo wa kupiga kelele na kutibua dili! Kuna ndege dume huwajengea viota wapenzi wao na kufanya kazi ya kumlisha mkewe na vifaranga kwa kuwapelekea chakula!
 
Woodpeckers are part of the family Picidae, that also includes the piculets, wrynecks, and sapsuckers. Members of this family are found worldwide, except for Australia, New Guinea, New Zealand, Madagascar, and the extreme polar regions.
 
I like this!
 
Tulivyokuwa watoto tuliwaweka kwenye matiti ili yakue makubwa[emoji23][emoji23]
 
Mkuu ukianzisha naomba unitag


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…