Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mshana Jr , nimesoma huo uzi uliouanzisha mwaka 2017, miaka miwili kabla sijajiunga jf.
Kwanza nitakuja kueleza kile ninachojua kuhusu Adam na kuhusu Nyoka kwa muktadha wa dini na vipi Mtu aitwe Nyoka.
Mkuu Mshana, kwanza kabisa ningependa ujue kama nilivyosema hapo kabla kwamba huyo nyoka katika kisa cha Adam na Eva sio "nyoka--mnyama" ni nyoka wa tamathali za kiroho (spiritual figure of speech), kwanini nyoka na sio mnyama mwingine atumike kitamathali katika dini kuwakilisha watu waovu???---- jibu ni hili; takriban wanyama wote wanaweza kufugwa na binadamu tangu wakiwa watoto na wanaweza kushika mafundisho na hata kupoteza silka ( naturak instincts) zao za asili na kuwa watii nawapole kwaa binadamu kwa kadiri walivyofundishwa, utii na upole mambo hayo hayapatikani kwa nyoka kwa kadiri yoyote utakavyomfundisha tangu akingali mtoto, nyoka mtoto huzaliwa na sumu tayari kwa ajili ya kushambulia, nyoka saa yoyote hata uwe ukimpa chakula kila siku yeye hana urafiki ukikaa vibaya atakugonga tu, chatu wa kufuga naye anapokuwa na njaa ni hatari sana hajui kwamba wewe ndiye bwana wake unayemlea na kumpa chakula, akihisi njaa umuendee kwa tahadhari kubwa, hizo kwa kifupi ni sifa mbaya za nyoka na ndiyo maana watu Waovu na maadui wa wema kwa Watu wema wa Mungu wamemithilishwa na Nyoka, kifupi nyoka katika lugha ya kidini ni mtu muovu na adui mpinga wema.
Adam hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa duniani;----Kwa miaka mingi watu wamekuwa na imani Potofu isiyokuwa na ushahidi popote kwamba Adamu ndiye mtu wa kwanza kuumbwa wanahusisha na sifa ya Adamu kuwa mtukufu wa kwanza kutumwa na Mungu duniani, tunaweza kusema Adam alikuwa ni mtume wa kwanza kutumwa na Mungu hapa duniani au ni mtu wa kwanza kuwa civilized katika hii dunia au ni mtu wa kwanza kupokea ufunuo kutoka kwa Mungu nk, na baada yake wakafika mitume kadhaa katika sehemu mbalimbali duniani wengine habari zao zimesimuliwa na wengine hazijasimuliwa katika vitabu vya dini.
Adamu amepata kuishi takriban miaka 6000 iliyopita katika "bustani" ya Eden huko Mesopotamia (Iraq ya kale) eneo lililopo kati ya makutano mito ya Euphates na Tigris ndiye mtu wa kwanza, muanzilishi wa ustaarabu wa leo na ndiyo maana sisi leo tunaitwa wanaadamu kwa maana hiyo tu kwamba huyo Adam ni baba yetu wa Kwanza wa kiroho, ndiye mtu wa kwanza katika Himosapiens kupokea ujumbe wa kiroho kutoka kwa Mungu wala yeye siye aliyezaa kimwili (biological reproduction) watu wote duniani, watu duniani leo tuna genetic make ups zinazotifautiana sana kulingana na mahali watu wanapotoka hivyo watu wote duniani hatuwezi kuwa tumezaliwa na huyo Adam.
Historia inasema fuvu la mtu wa kale lilivumbuliwa takriban miaka 1000,000 iliyopita huko Oldivai Gorge kwa maana hiyo watu walikuwepo hata kabla ya Adamu, linganisha miaka 6000 ya Adam na 1,000,000 ya mtu wa kale Zinjanthropus isitoshe bado hadi leo sehemu mbalimbali duniani mafuvu ya vichwa vya watu yanaendelea kufukuliwa yakionyesha yamekuwepo ardhini maelfu ya miaka toka wakipokufa.
A Possible question, kama Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani je mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa yupi???, wakati ukitafuta jibu la swali hilo pia mtu anaweza kuuliza; Kuku wa kwanza au yai la kwanza lilikuwa lipi??, mbuzi wa kwanza, bata wa kwanza, Muembe wa kwanza, Sangara, kima, nyani, Sokwe, Chatu wa kwanza ni wepi???, je hao wanyama wanaopatika duniani wametokana na mzazi mmoja yaani chatu mmoja ndiye aliyezaa chatu wote duniani???, kwakweli ni ngumu sana kujua mtu wa kwanza kuumbwa halikadhakika kujua kila mnyama wa kwanza kuumbwa ni kazi pevu isitoshe Mungu hajaainisha jambo hilo katika maandiko kwani ameona hakuna umuhimu.
Je watu na wanyama wamekujaje duniani???--- hilo ni somo jingine linalohitaji muda kulieleza.
Itoshe kusema kwamba Nyoka katika lugha ya kidini ni adui, muovu na mtu anayepinga haki kwa uwazi au kwa siri. Nyoka katika tukio la Adam ni mtu adui wa haki na mafundisho aliyokuja nayo Adam nyoka huyo ndio sawa na wale nyoka Yesu aliowaita "kizazi cha nyoka" yaani ni watoto wa maadui wa Yesu waliopinga injili yake na kisha kumtungika msalabani.
Uajabu si wa ndege huyo tu, wapo ndege wanaokuwa kwenye migongo ya wanyama kazi yao ni kuondoa kupe na wadudu wengine wanaowang'ata wanyama. Kuna ndege ambao huwa mbele ya wanyama malishoni, wale husafisha njia ili wanyama wasiumwe na wadudu wabaya, kuna ndege wanaokuwa juu ya miti karibu na kundi la wanyama kwa ajili ya kuwatahadharisha endapo kuna mnyama anawawinda, huyu hupiga kelele kali inayowashitua na kukimbia kisha naye husepa! Nyani pia huwalinda baadhi ya wanyama wanyonge wasidhurike na wanyama wakali kwa mtindo wa kupiga kelele na kutibua dili! Kuna ndege dume huwajengea viota wapenzi wao na kufanya kazi ya kumlisha mkewe na vifaranga kwa kuwapelekea chakula!Moja kati ya jambo la kustaajabisha kwa kiumbe mamba ni kuwa hana ulimi, uchafu anaouzalisha kinywani kutokana na chakula anachokula husafishwa na ndege
Plover Bird ni ndege pekee ambaye huingia kinywani mwa mamba na mamba huwa hamli ndege huyu
Anachokifanya Plover kinywani mwa mamba ni kula uchafu unaokuwa kwenye meno ya mamba, hivyo huwa kama mswaki wake. Yeye hutoka akiwa ameshiba na mamba hubaki na kinywa safi
Ni jambo la ajabu katika utegemezi wa Mamba na Plover Bird kwa kuwa viumbe wengine wakiingia kinywani mwa mamba huwa wanaishia kuliwaView attachment 1713485 credit kwake Analogia Malenga
Mkuu hzo stori za chunusi nimeshazisikia sana mpaka ilipelekea kuacha kuogelea mtoni kumbe sio jini ni huyo samaki dahh 😂😂😂Wanaita chunusi bila kujua hiyo ni kazi ya huyu mzee baba😂
Yes. KaratuMmh Chuga?
I like this!Uajabu si wa ndege huyo tu, wapo ndege wanaokuwa kwenye migongo ya wanyama kazi yao ni kuondoa kupe na wadudu wengine wanaowang'ata wanyama. Kuna ndege ambao huwa mbele ya wanyama malishoni, wale husafisha njia ili wanyama wasiumwe na wadudu wabaya, kuna ndege wanaokuwa juu ya miti karibu na kundi la wanyama kwa ajili ya kuwatahadharisha endapo kuna mnyama anawawinda, huyu hupiga kelele kali inayowashitua na kukimbia kisha naye husepa! Nyani pia huwalinda baadhi ya wanyama wanyonge wasidhurike na wanyama wakali kwa mtindo wa kupiga kelele na kutibua dili! Kuna ndege dume huwajengea viota wapenzi wao na kufanya kazi ya kumlisha mkewe na vifaranga kwa kuwapelekea chakula!
Mkuu ukianzisha naomba unitagMkuu Mshana Jr , nimesoma huo uzi uliouanzisha mwaka 2017, miaka miwili kabla sijajiunga jf.
Kwanza nitakuja kueleza kile ninachojua kuhusu Adam na kuhusu Nyoka kwa muktadha wa dini na vipi Mtu aitwe Nyoka.
Tulivyokuwa watoto tuliwaweka kwenye matiti ili yakue makubwa[emoji23][emoji23]Nimemkumbuka na Antlion( Chungu simba). Larva wa huyu bosi huwa anachimba kashimo ardhini na yeye anajifukia pale katikati ya shimo. Kuta za shimo zinakuwa ziko kwenye angle fulani. Kwenye zile kuta anajaza mchanga. Sasa sisimizi au siafu ikijichanganya na kudumbukia mpe inashindwa kutoka. Ule mchanga kwenye ukuta unakuwa unaporomoka kila akijaribu kutoka. Basi hapo jamaa anatoka na kumtafuna kisha anarudishia mchanga na kusubiri tena windo.
View attachment 1713108View attachment 1713107
Huyu ametokea Ngorongoro Conservation Area
Mkuu ukianzisha naomba unitag
Mkuu Mshana, kwanza kabisa ningependa ujue kama nilivyosema hapo kabla kwamba huyo nyoka katika kisa cha Adam na Eva sio "nyoka--mnyama" ni nyoka wa tamathali za kiroho (spiritual figure of speech), kwanini nyoka na sio mnyama mwingine atumike kitamathali katika dini kuwakilisha watu waovu???---- jibu ni hili; takriban wanyama wote wanaweza kufugwa na binadamu tangu wakiwa watoto na wanaweza kushika mafundisho na hata kupoteza silka ( naturak instincts) zao za asili na kuwa watii nawapole kwaa binadamu kwa kadiri walivyofundishwa, utii na upole mambo hayo hayapatikani kwa nyoka kwa kadiri yoyote utakavyomfundisha tangu akingali mtoto, nyoka mtoto huzaliwa na sumu tayari kwa ajili ya kushambulia, nyoka saa yoyote hata uwe ukimpa chakula kila siku yeye hana urafiki ukikaa vibaya atakugonga tu, chatu wa kufuga naye anapokuwa na njaa ni hatari sana hajui kwamba wewe ndiye bwana wake unayemlea na kumpa chakula, akihisi njaa umuendee kwa tahadhari kubwa, hizo kwa kifupi ni sifa mbaya za nyoka na ndiyo maana watu Waovu na maadui wa wema kwa Watu wema wa Mungu wamemithilishwa na Nyoka, kifupi nyoka katika lugha ya kidini ni mtu muovu na adui mpinga wema.
Adam hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa duniani;----Kwa miaka mingi watu wamekuwa na imani Potofu isiyokuwa na ushahidi popote kwamba Adamu ndiye mtu wa kwanza kuumbwa wanahusisha na sifa ya Adamu kuwa mtukufu wa kwanza kutumwa na Mungu duniani, tunaweza kusema Adam alikuwa ni mtume wa kwanza kutumwa na Mungu hapa duniani au ni mtu wa kwanza kuwa civilized katika hii dunia au ni mtu wa kwanza kupokea ufunuo kutoka kwa Mungu nk, na baada yake wakafika mitume kadhaa katika sehemu mbalimbali duniani wengine habari zao zimesimuliwa na wengine hazijasimuliwa katika vitabu vya dini.
Adamu amepata kuishi takriban miaka 6000 iliyopita katika "bustani" ya Eden huko Mesopotamia (Iraq ya kale) eneo lililopo kati ya makutano mito ya Euphates na Tigris ndiye mtu wa kwanza, muanzilishi wa ustaarabu wa leo na ndiyo maana sisi leo tunaitwa wanaadamu kwa maana hiyo tu kwamba huyo Adam ni baba yetu wa Kwanza wa kiroho, ndiye mtu wa kwanza katika Himosapiens kupokea ujumbe wa kiroho kutoka kwa Mungu wala yeye siye aliyezaa kimwili (biological reproduction) watu wote duniani, watu duniani leo tuna genetic make ups zinazotifautiana sana kulingana na mahali watu wanapotoka hivyo watu wote duniani hatuwezi kuwa tumezaliwa na huyo Adam.
Historia inasema fuvu la mtu wa kale lilivumbuliwa takriban miaka 1000,000 iliyopita huko Oldivai Gorge kwa maana hiyo watu walikuwepo hata kabla ya Adamu, linganisha miaka 6000 ya Adam na 1,000,000 ya mtu wa kale Zinjanthropus isitoshe bado hadi leo sehemu mbalimbali duniani mafuvu ya vichwa vya watu yanaendelea kufukuliwa yakionyesha yamekuwepo ardhini maelfu ya miaka toka wakipokufa.
A Possible question, kama Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani je mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa yupi???, wakati ukitafuta jibu la swali hilo pia mtu anaweza kuuliza; Kuku wa kwanza au yai la kwanza lilikuwa lipi??, mbuzi wa kwanza, bata wa kwanza, Muembe wa kwanza, Sangara, kima, nyani, Sokwe, Chatu wa kwanza ni wepi???, je hao wanyama wanaopatika duniani wametokana na mzazi mmoja yaani chatu mmoja ndiye aliyezaa chatu wote duniani???, kwakweli ni ngumu sana kujua mtu wa kwanza kuumbwa halikadhakika kujua kila mnyama wa kwanza kuumbwa ni kazi pevu isitoshe Mungu hajaainisha jambo hilo katika maandiko kwani ameona hakuna umuhimu.
Je watu na wanyama wamekujaje duniani???--- hilo ni somo jingine linalohitaji muda kulieleza.
Itoshe kusema kwamba Nyoka katika lugha ya kidini ni adui, muovu na mtu anayepinga haki kwa uwazi au kwa siri. Nyoka katika tukio la Adam ni mtu adui wa haki na mafundisho aliyokuja nayo Adam nyoka huyo ndio sawa na wale nyoka Yesu aliowaita "kizazi cha nyoka" yaani ni watoto wa maadui wa Yesu waliopinga injili yake na kisha kumtungika msalabani.
Halafu eti jogoo atapelekwa mahakamani kwa ajili ya ushahidi....Dunia ina mengi sana 😁