fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Haijawahi kutokea lakini kwa wataalamu wanyama wanavyowadescribe Hawa wanyama Dubu ni mkubwa, ana meno marefu na kucha ndefu kuliko simba. Pia tukiangalia uzito ambao ni factor kubwa katika kumshinda adui yako, Dubu ni wazito kuliko simba; Simba mzito ana weight ya 300-350kg ambayo ni sawa na weight ya American bear. Dubu wazito kabisa ni aina ya brown bear ambao wanauzito wa 600kg. Sasa kwa hizo factors mbili unaweza ukawa na picha ikitokea wakapambanishwa yupi atakalishwa mapema😊wakuu hivi battle ya dubu vs simba pia mamba vs kiboko nani anakaa?
Mamba na kiboko ni wanyama wanayoishi sehemu moja bila kuingiliana, lakini Kuna muda hutokea kiboko akaingilia maisha ya mamba pale anapokamata windo na kutaka kulizamisha kwenye maji. Umetokea Mara nyingi sana kiboko kuvamia mamba na kumuokoa pray. Mamba anamkimbia kiboko iwe nje ya maji au ndani ya maji