Mada ya wanyama

wakuu hivi battle ya dubu vs simba pia mamba vs kiboko nani anakaa?
Haijawahi kutokea lakini kwa wataalamu wanyama wanavyowadescribe Hawa wanyama Dubu ni mkubwa, ana meno marefu na kucha ndefu kuliko simba. Pia tukiangalia uzito ambao ni factor kubwa katika kumshinda adui yako, Dubu ni wazito kuliko simba; Simba mzito ana weight ya 300-350kg ambayo ni sawa na weight ya American bear. Dubu wazito kabisa ni aina ya brown bear ambao wanauzito wa 600kg. Sasa kwa hizo factors mbili unaweza ukawa na picha ikitokea wakapambanishwa yupi atakalishwa mapema😊
Mamba na kiboko ni wanyama wanayoishi sehemu moja bila kuingiliana, lakini Kuna muda hutokea kiboko akaingilia maisha ya mamba pale anapokamata windo na kutaka kulizamisha kwenye maji. Umetokea Mara nyingi sana kiboko kuvamia mamba na kumuokoa pray. Mamba anamkimbia kiboko iwe nje ya maji au ndani ya maji
 
Yaani simba dume anaweza akakubali kukaa na njaa hata kama windo limekamatwa na jike siku nzima mpaka akamilishe bao zake 60 ndipo awaze maji na chakula.
Wakati kuna wanaume kila baada ya bao moja anaomba glass ya maji[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2839][emoji23]
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kinachonifanya niungane na swala 5 kuamini kuwa nguruwe ni mnyama aliyelaaniwa ni kitendo cha mnyama huyu kushindwa kuangalia angani
how! kwann asiangalie shingo iko na kaz gan kama n macho yalvokaa mbna kuku pia ako hvo
 
Simba sio mnyama mkubwa kuliko wote kwenye jamii ya paka bali chuimilia (Tiger) ndiye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…