Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu alikuwa anapenda Sana utani
Mungu awasaidie mabinti zetu, Huyu ndo future husband na mkwe wa fulaniKuna hii video jamaa anamla punda..[emoji848][emoji848][emoji2984][emoji2984][emoji2984]hii ni laana..View attachment 1841746
Mimi kila nikiona kiboko bc akilini nawaza kwamba nyama yake n taam sana
Washabiki wa Utopolo unawapeleka wapi?
Shida yako unanasibisha KIBOKO na KITIMOTO kwa majina umbo [emoji23]Mimi kila nikiona kiboko bc akilini nawaza kwamba nyama yake n taam sana
Sio hvy Ila naona nyama yake inavutiaShida yako unanasibisha KIBOKO na KITIMOTO kwa majina umbo [emoji23]
Anapoza kooYaani simba dume anaweza akakubali kukaa na njaa hata kama windo limekamatwa na jike siku nzima mpaka akamilishe bao zake 60 ndipo awaze maji na chakula.
Wakati kuna wanaume kila baada ya bao moja anaomba glass ya maji😆😆