Mada ya wanyama

Ni wazuri sana hawa samaki kwa muonekano lakini ni makatili balaa,bora hata ukutane na papa lakin sio huyu mdudu cha moto utakiona
 
Mkuu _KINGO_ I salute you[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122]
 
Yesu hakupaa?[emoji849]
 
Aisee huyu cuckoo ni shetani kabisaaa
Huwa nikiwaangalia nashangaa sana yaani mpaka mtoto anapozaliwa tu bado hata hajafungua macho anahakikisha anabaki peke yake kwenye kichali
Yaani anadondosha mpaka yai lililobaki View attachment 1711758
Cuckoo ni kamalaya fresh yaan[emoji16][emoji16]

Kanaliwa huko kanabeba mimba kulea hakataki, hahaha
 
Mkuu je na ile wanasema Cuckoo kifaranga ana tabia ya kuwasukumia chini watoto vifaranga wa ndege mwingine kwenye kiota then anabaki mwenyewe ili apewe masotojo mwenyewe je ni kweli?
 
Mkuu je na ile wanasema Cuckoo kifaranga ana tabia ya kuwasukumia chini watoto vifaranga wa ndege mwingine kwenye kiota then anabaki mwenyewe ili apewe masotojo mwenyewe je ni kweli?
Yea ni kweli

Na hii huifanya akiwa hapo hapo ugenini
 
Namhusudu sana huyu ndege...hapa namcheki na tabia zake mbavu sina!

Kadogo lkn kana mambo mazito[emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kumbe mtundu hivyo
Yaani ndege mbaya hivyo unampenda
Ila anavyodai chakula sasa pindi anapomzidi ukubwa hata mlezi wake

Na huyo mlezi anashangaa toto halishibi [emoji23][emoji23]
Imagine anadamka asubuhi kumtafutia mlo zaidi ya mara kumi
[emoji24][emoji24]
 
Hahahahaha

Cuckoo jana nacheki kawatupa watoto wote kwenye kiota akabaki mwenyewe

Sasa nachoshangaa huyu ndege mama wa wale watoto hashtuki tu kuwa analisha mtoto sio wake? Halafu hakujisumbua kuwatafuta wanae waliotupwa[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…