mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Huyu ana dharau sasa, utachezeaje chakula namna hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ana dharau sasa, utachezeaje chakula namna hii?
Mshana Jr una utani na marehemu Magufuli, shauri yako.
ili dume mbabe afikiri ana approacha majike mawili. Basi dume mdogo anampelekea moto yule jike fasta kabla dume mbabe hajamshukia na kumpa kipigo au kabla yule dume mbabe hajampanda yeye ikawa sooo halafu anasepa fastaaaa,.[emoji23]View attachment 2159496
Cuttlefish
Jamii ya pweza na ngisi. Wakali wa camouflage. VInyonga matata sana hawa.
Dume wadogo wanatabia ya kujipenyeza kati kati ya dume kubwa mbabe na jike, huku akibadilisha rangi za mwili wake nusu kwa nusu. Upande ule wa jike anaweka rangi ya kiume kumtogoza. upande wa dume anaweka rangi ya jike ili dume mbabe afikiri ana approacha majike mawili. Basi dume mdogo anampelekea moto yule jike fasta kabla dume mbabe hajamshukia na kumpa kipigo au kabla yule dume mbabe hajampanda yeye ikawa sooo halafu anasepa fastaaaa,.
Enemy of my enemy us my friend
duh kumbe ndo njia ya kujipatia chakulaNimemkumbuka na Antlion( Chungu simba). Larva wa huyu bosi huwa anachimba kashimo ardhini na yeye anajifukia pale katikati ya shimo. Kuta za shimo zinakuwa ziko kwenye angle fulani. Kwenye zile kuta anajaza mchanga. Sasa sisimizi au siafu ikijichanganya na kudumbukia mpe inashindwa kutoka. Ule mchanga kwenye ukuta unakuwa unaporomoka kila akijaribu kutoka. Basi hapo jamaa anatoka na kumtafuna kisha anarudishia mchanga na kusubiri tena windo.
View attachment 1713108View attachment 1713107