Mada ya wanyama



Cuttlefish

Jamii ya pweza na ngisi. Wakali wa camouflage. VInyonga matata sana hawa.
Dume wadogo wanatabia ya kujipenyeza kati kati ya dume kubwa mbabe na jike, huku akibadilisha rangi za mwili wake nusu kwa nusu. Upande ule wa jike anaweka rangi ya kiume kumtogoza. upande wa dume anaweka rangi ya jike ili dume mbabe afikiri ana approach majike mawili. Basi dume mdogo anampelekea moto yule jike fasta kabla dume mbabe hajamshtukia na kumpa kipigo au kabla yule dume mbabe hajampanda yeye ikawa sooo halafu anasepa fastaaaa,.
 
ili dume mbabe afikiri ana approacha majike mawili. Basi dume mdogo anampelekea moto yule jike fasta kabla dume mbabe hajamshukia na kumpa kipigo au kabla yule dume mbabe hajampanda yeye ikawa sooo halafu anasepa fastaaaa,.[emoji23]
 
duh kumbe ndo njia ya kujipatia chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…