Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

FB_IMG_1663792606121.jpg
 
Jonathan ndiye mnyama mzee zaidi duniani anayejulikana. Alizaliwa mnamo 1832 na kwa sasa ana umri wa miaka 187. Ameishi WW1 na WW2, Mapinduzi ya Urusi, wafalme saba kwenye kiti cha enzi cha Uingereza, na marais 39 wa Amerika... [emoji7]View attachment 2361213
Kobe jitu, unaambiwa kobe na mamba ndio wanyama wakongwe zaidi duniani. Walikwepo tokea enzi za dinosaurs
 
Mkuu samahani una elimu ya hawa viumbe? Uko deep sana
Kuna ndege wanaitwa cuckoo sifa yao kubwa ni kuvamia viota vya ndege wengine, pengine hii sifa na wewe ndiyo unaijua. Wasumbufu, wakorofi n wana ubabe hivi.

Tabia nyingine ya cuckoo ni kutopenda kulea mayai yao na vifaranga vyao. Now logic itakufanya ujiulize kama hawalei ni nani wanalea? Jibu ni simple, ndege wengine hua wanalea mayai ya cuckoo.

You see cuckoos hutafuta kiota ambacho tayari kina mayai kisha cuckoo jike huenda kutaga hapo na kuyeya. Ndege mwenye kiota ataatamia mayai, atalisha vifaranga kisha siku ikifika atashangaa kuna kibaba kipo hapo hakielewi na amekilisha tangu kichanga, by that time katakua kanaweza kupaa so katajiondokea.

Now siyo kila ndege ni wajinga au siyo? Wengine wataangalia na kugundua hichi siyo kifaranga changu so ataanza kukatenga kwa kutokapa chakula ambapo cuckoos huteua genge la ndege kadhaa ambao humtembelea yule mama ndege aliyegoma kulisha kifaranga cha cuckoo na kumshushia kipigo.

Mostly baada ya hapo huyu kifaranga hulishwa vyema kabisa mpaka anakua na kuondoka zake.
 
 
Back
Top Bottom