Mada ya wanyama

huyu mjinga mjinga alinaswa na mfupa wa kuku mdomoni na ikabidi wamweke chini ili kuuondoa kwa ujinga wake akataka kumuuma daktari wa mifugo sasa yuko juu kama kifutu na nililazimika kulisha paka wake wote 7.
 
Xoloitzcuintli ni aina ya mbwa wa kale wa Azteki ambao walichukuliwa kuwa waelekezi kwa wafu katika safari yao ya kwenda kuzimu.
 
Shida yake kubwa akiumwa njaa anakula mpaka nnya yake yaani ni recycle bin[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Nature inamruhusu, ana filter na process nzuri ya kuweza kula nnya yake bila issue yeyote, kula wewe utaishia hospitali au kufa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…