Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Privacy sana tabia kama za binadamu, huo wizi ulisababishwa na uja uzito, akishajifungua ataachaPaka wangu ana mimba kubwa sana nishampiga stop kuingia ndani, ni mwizi chenji inabaki, sasa toka akaribie kujifungua analazimisha kuingia ndani yaan inakuwa vita. Mda wote yupo mlangoni hivi lazima wajifungulie ndani hawa wanyamaView attachment 2478319
Wana akili kama binadamu labda umuwekee mtego lakini kumroga ni ngumu [emoji23]Hapa kwetu tuna buzzard mmoja common sana anakulaga kuku zangu kwa jina augur buzzard (Buteo augur)
Yule kipanga ni shida nipe dawa nimloge