machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Achana kabisa na hicho kifaa kwanza ana wivu 5G inasubiri halafu anajiamini sana halafu mkorofi mno [emoji23]Mshana Jr unamfahamu nyegere kwa kimombo honey budger au ratel?
Kama vile mongooseHuyu ni mnyama gani ?View attachment 2742220
Kwa kiswahili ?Kama vile mongoose
Kwa kiswahili nadhani ni nguchiroKwa kiswahili ?
Wanasema paka ana roho Saba!! Vipi Huyu tumpe ngapi?Achana kabisa na hicho kifaa kwanza ana wivu 5G inasubiri halafu anajiamini sana halafu mkorofi mno [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza saba [emoji23]Wanasema paka ana roho Saba!! Vipi Huyu tumpe ngapi?
Nyegere ana uwezo wa kupambana na koboko (black mamba) na akamla pamoja na mayai yakeMbwa aina ya Honey Badger katika kituo cha wanyamapori cha Afrika Kusini alitoroka boma lake mara mbili ili kupigana na simba kwenye maonyesho kando yake, alijenga minara kwa mawe na vijiti kupanda juu ya ukuta wake, na alipotambulishwa na mwenzi wake, alisimama juu ya kichwa chake kufungua mlangoni na kutoka kwa mara nyingine tena,
weird-facts.org
OfactsweirdView attachment 2742283
Sent using Jamii Forums mobile app