Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huyu dizaini ni pet animal..naona yuko sebuleni hapo..
Mkuu utani samehe kwa swali la kiouuzi kidogo lakini kwa sababu nataka kujua Sina budi kuku uliza
Kuna hadithi moja inasema kulikuwa na karamu na mgeni rasmi alikuwa Mtume.. Na nyama iliyokuwa tamu kuliko zote ni hiyoMkuu utani samehe kwa swali la kiouuzi kidogo lakini kwa sababu nataka kujua Sina budi kuku uliza
Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya Huyo mnyama na Hawa wenzetu wa Islam
Mbona Wana mchukia Sana huyu kiumbe
Je! ana madhara gani kwao?
Zile sauti zinaposikika uswahilini...Zile sauti wanazo zitoa paka usiku sauti zinazo fanania na sauti za vilio vya watoto wachanga
Nisauti ambazo paka huzitoa ili kuwa vutia wenza wao