Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mmoja ya wanyama wenye akili sana duniani. Kwenye top four kuna sokwe mtu, mbwa, pomboo(dolphin) na huyu jamaa. Pia ni bosi mmoja msafi sana. Kama umewahi mfuga utakuta anajisaidia mbali na anapokula.
Hivi haya madudu hayapatagi Heart attack?? Au pressure??
Halafu huyu dizaini ni pet animal..naona yuko sebuleni hapo..
Asee huyu ningekimbia nikae kwa mbali nimshushie mvua ya mawe yasiyo na idadi [emoji16][emoji16][emoji16]Tupia chochote kuhusu wanyama
Kibaya
Kizuri
Cha kuchekesha
Cha kushangaza
Cha kuhuzunisha
Cha kufurahisha
Cha kusikitisha nk nk
View attachment 1709936
Shida yake kubwa akiumwa njaa anakula mpaka nnya yake yaani ni recycle bin[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Huyu ni mmoja ya wanyama wenye akili sana duniani. Kwenye top four kuna sokwe mtu, mbwa, pomboo(dolphin) na huyu jamaa. Pia ni bosi mmoja msafi sana. Kama umewahi mfuga utakuta anajisaidia mbali na anapokula.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwaniniAsee huyu ningekimbia nikae kwa mbali nimshushie mvua ya mawe yasiyo na idadi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kama katoa bomb huko porini kaleta nyumbani kama hapo... huoni likilipuka litaleta madhara mkuu? Ni kumtimua tu na kuita police[emoji23][emoji23][emoji23]kwanini