Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana kabisa na kitu kinaitwa NYEGEre
Tumpe namba taifa starz, awe golikipa wetu
Msikate miti hovyo. [emoji17]
Na angepewa dwmu tu, sidhani kama angefaulu masomo yake au angefikia umri huo aliofika, angekufa mapema tu [emoji23][emoji1787]Unyanyasaji wa wanyama: “Panya Magawa hajawahi kukutana na panya wa kike, maisha ya mafunzo yali-focus kwenye kwenda kuokoa maisha ya watu kwa hiyo hakupata muda wa kukutanishwa na panya wa kike” - Dr. Pendo Msegu, mwalimu wa Panya MagawaView attachment 2081138
Wakina harmonize hao[emoji23]
Watanzania tungefanya hivi hawa wanasiasa mbona wasingetuletea upumbavu wao. [emoji34]