KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Kwani huyu yeye hakupitia mabadiliko kuwa mwanadamu![emoji23][emoji23][emoji23]Tumbili Buibui (Ateles) amesimama - akiwa amekaa pia (mkiani)View attachment 2275147
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyu yeye hakupitia mabadiliko kuwa mwanadamu![emoji23][emoji23][emoji23]Tumbili Buibui (Ateles) amesimama - akiwa amekaa pia (mkiani)View attachment 2275147
Unicorn is real
Huyu mnyama bado yupo? Sijawahi kumsikia hata siku moja, wanapatikana/walipatikana nchi gn?Tatzelwurm ana miguu 2 ya mbele na inasemekana kuwa na macho makubwa sana yanayong'aa na kama masikio ya paka ambayo madai ya mashahidi fulani yanampa Tatzelwurm mwonekano wa paka aliyefunikwa kwa magamba badala ya manyoya.View attachment 2292089
Hili pambano nani alikua mshindi?Alligator Lizard Bites Snake While Being SwallowedView attachment 2266286