Hizi akili hizi,kipindi fulani Wakenya walikuja juu pale wabunge wapya baada ya kuapishwa wakadai nyongeza ya mshahara..mbunge mmoja katika kutetea hayo madai yao akasema"Kenyans should be proud that they can pay that amount of salaries and others to their members of parliament"yaani wananchi wanatakiwa wajisikie furaha na ufahari kwamba kupitia Kodi zao wanaweza kuwalipa wabunge mishahara minono na marupurupu mengine,.
Kwa nchi ilipo sasa,mama mwenyewe kasema uchumi umeshuka,sasa inakuaje ni kipaumbele kumnunulia Raisi mstaafu gari la kifahari?
Alichotakiwa kufanya ni kupunguza ukubwa na matumizi ya Serikali,
Mwinyi analipwa mshahara,anapewa ulinzi,ana majumba kibao mengine inawezekana yalipstikana kwa wizi,huyu mtu ana ukwasi mkubwa tu,
Kweli mama akaona zawadi ya kuwapa wazee wa Dar ni kumzawadia gari ya millioni 450!
Pale Rwanda Nkurunzinza kabla hajafa,alitaka serikali imjengee hekalu kama Ikulu,likajengwa,akatunga sheria asishitakiwe,
Mungu mkubwa akafa.
Sasa huyu mama anatuchekea chekea huku akionyesha mahaba kwa hawa wastaafu,harafu anataka sie tupige makofi