Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Kiafya hakina kiimani ndio kama hivyo
Imenibidi nimkumbuke binti mmoja alitokewa akiwa kdt cha 2(akafanyiwa operation) ila sasa ameolewa na ana watoto watatu.
Kuna vijana wawili pia ziliwatokea kwa nyakati tofauti mmoja tayari ana mtoto, mwingine bado mdogo ndio yuko kdt cha 6.

Kwa imani yako mshana ni kuwa hao watoto wao watakufa?
 
Aisee kuna mdada anako hako kamkia chini kidogo ya kiuno karibia na ule mfereji wa suez/panama.matatizo uliyoyaelezea ya kukosa furaha na nuksi yanalandana kabisa na situasheni aliyokuwa nayo yule dada,mie mwenyewe nlitemana naye ndani ya muda mfupi japo alikuwa mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…