Basi niliwaza nikimbie maana namwona kuna mrembo anayo kama sio mimi naonaga vibaya. Kimsingi ni mtazamo na set up ya akili ya Mwanaume ila haathiriki moja kwa moja right?Si sana kama mhusika mkuu lakini automatically kwa hali aliyonayo mwenzako kwa namna moja au nyingine lazima nawe uathirike hata kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
nitakitafuta hata kwa tochi ya kuchimbia madini ili tuuuuh nipate wasaa wa kukionaauwezi kukiona hii kazi tuachie sisi
Mtazamo binafsi na uelewa ni muhimu sana kwenye hizi ishuBasi niliwaza nikimbie maana namwona kuna mrembo anayo kama sio mimi naonaga vibaya. Kimsingi ni mtazamo na set up ya akili ya Mwanaume ila haathiriki moja kwa moja right?
Ila wao ndio hawana mikosi?hata wanaume wanavyo
Vipo kwa jinsi zote me/ke na madhara yake ni yale yale, kuzaa na kufisha.Hicho kinyama/kimkia huwatokea wanawake tu?
Duuuuh🙆Vipo kwa jinsi zote me/ke na madhara yake ni yale yale, kuzaa na kufisha.
Shemeji sio kweli🤣Mhm kwa wanaume sidhani kama kipo
Inaitwa Bawasiri, ni ugonjwa na inatibikaTuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Wanaume baadhi wanavyo bhana.Nadhani kwa wanaume hapana
Ni bawasiri.Sio bawasir hiyo au kinyama zongo?
Hijatembea ukaonaMm sijawahi kuona hiko kinyama
Mleta Uzi hajasema, kipo sehemu ipi hasa. Kwa sababu kuna pale pakunyea, na au kipo pale Uti wa mgongo unapoishia? AngefafanuaNi bawasiri.
Si amesema kwenye tundu la haja kubwa?Mleta Uzi hajasema, kipo sehemu ipi hasa. Kwa sababu kuna pale pakunyea, na au kipo pale Uti wa mgongo unapoishia? Angefafanua