Hata km ni makango, bas wanaume pia wanayo.Hapana
Ni makango jamani gran pah, hata wanaume wanayo. KhaaahKwenye mlango wa haja kuu
Wanayo bhanaa.Ulishawahi kuona!?[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Ulijuaje?Wanaume baadhi wanavyo bhana.
Kwani huyu aliyeleta mada yeye alijuaje?Ulijuaje?
Alimpiga mtu doggy,Kwani huyu aliyeleta mada yeye alijuaje?
Nilimpiga mtu doggy,Alimpiga mtu doggy,
haya na weye twambie ulijuaje.
Hapana hii siyo ugonjwa ni maumbile tu ni kama ki clitoris kidogo sana, wala hakiyakiwi kutolewaVipi vinavyotokana na kunenepeana kupita kiasi. Vipo vinavyotokana na ujauzito au uzazi. Vipo vinavyotokana na operesheni. Vyote vinatibika hospital.
Hapana hii siyo ugonjwa ni maumbile tu ni kama ki clitoris kidogo sanaVipi vinavyotokana na kunenepeana kupita kiasi. Vipo vinavyotokana na ujauzito au uzazi. Vipo vinavyotokana na operesheni. Vyote vinatibika hospital.
Mimi namfahamu mmoja ila ni kweli kaachika kwenye ndoa ila mtoto wake yupo hadi leoHata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
Mkuu fanya utafiti.Nadhani kwa wanaume hapana
Jamaa Alikuwa anakuonyesha?Mkuu fanya utafiti.
Mi nshashuhudia jamaa yangu alikuwa akikatwa hako kamkia mara kanapochipua.
Kakiachwa hufisha watoto, kisayansi hakuna majibu.
Sio kweli kabisa,hicho kinyama ni marafhi tu,mimi niliwahi kupata binti mzuri sana,nikawa nae kwenye mahusiano na siku moja nikiwa nae,aliniambia kaota kinyama matakoni,nilimkagua na kweli nikakaona,bahati nzuri nilikuwa na rafiki ni daktari,ni mama mmoja hivi ambae alikuwa daktari wa wilaya,nilienda nae huyo bby wangu mpaka kwa daktari,akamchunguza akaniambia amfanyie upasuaji mdogo na alimfanyia na tatizo likaisha,huyo dada sasa hivi kaolewa mtwara na ana watoto 2.Hakuna shida yoyote,kwani huo ni ugonjwa ambao unawapata wanaume na wanawake,na wala jauna uhusiano na staili yoyote ya ngonoTuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
what? eti nimesoma nini hapa?Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Best friend atakuficha nini sasa?Jamaa Alikuwa anakuonyesha?
Duh noma sanaBest friend atakuficha nini sasa?
Tena namsaidia ad kumfuata mtaalamu wa kiwembe!
Akishakifyeka anapaka dawa nyeusi flani kama masizi'vi 'anapona',
baada ya muda flani kanaanza 'kusonga' tena!
Nadhani kinatembea kwenye ukoo.
Dunia hii imebeba magonjwa ya ajabu ajabu sana mkuu.Duh noma sana
OK basi sawa.. Hongera kwa kumpekenyua huko nanihii😋 sipati picha alikaa mkao gani🤣Sio kweli kabisa,hicho kinyama ni marafhi tu,mimi niliwahi kupata binti mzuri sana,nikawa nae kwenye mahusiano na siku moja nikiwa nae,aliniambia kaota kinyama matakoni,nilimkagua na kweli nikakaona,bahati nzuri nilikuwa na rafiki ni daktari,ni mama mmoja hivi ambae alikuwa daktari wa wilaya,nilienda nae huyo bby wangu mpaka kwa daktari,akamchunguza akaniambia amfanyie upasuaji mdogo na alimfanyia na tatizo likaisha,huyo dada sasa hivi kaolewa mtwara na ana watoto 2.Hakuna shida yoyote,kwani huo ni ugonjwa ambao unawapata wanaume na wanawake,na wala jauna uhusiano na staili yoyote ya ngono
Muwe mnawaowa basi,yani unamchngulia hivyo halafu anakuwa mke mtu mwingine,hapa ndio maana wengine wanasema bora uoe bikira.....Sio kweli kabisa,hicho kinyama ni marafhi tu,mimi niliwahi kupata binti mzuri sana,nikawa nae kwenye mahusiano na siku moja nikiwa nae,aliniambia kaota kinyama matakoni,nilimkagua na kweli nikakaona,bahati nzuri nilikuwa na rafiki ni daktari,ni mama mmoja hivi ambae alikuwa daktari wa wilaya,nilienda nae huyo bby wangu mpaka kwa daktari,akamchunguza akaniambia amfanyie upasuaji mdogo na alimfanyia na tatizo likaisha,huyo dada sasa hivi kaolewa mtwara na ana watoto 2.Hakuna shida yoyote,kwani huo ni ugonjwa ambao unawapata wanaume na wanawake,na wala jauna uhusiano na staili yoyote ya ngono