Dreamliner787
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 562
- 362
Sio bawasili kabisa. Kinaanzia ndani njia ya haja kubwa.Sawa lakini tumeshajadili sana hapa na kufafanua kuwa ninachoongelea hapa sio bawasiri(hemorrhoids )
Jr[emoji769]
Hii ni kweli nishawahi kuwa na mpenzi mwenye hiki kinyama kwa mawazo yangu nilifkr aliwahi lawitiwa akachanwa[emoji1487][emoji1487][emoji1487] maisha yake katika mapenzi n kama alivyosema mdau hapo,binafsi nliachana nae kwa kufikiri labda alilawitiwa kitu ambacho sikipendi.!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee mbona ni mm kabisa napitia hizi tabu sasaBraza Mshana shikamoo
Leo umenifungua macho kwa uzi huu ingawa ni wa muda kidogo. Naweza kuwa shuhuda wa hili, nimeona na huyu mdada mwisho wa siku ni single mom ila ni descent sana na akimpenda mwanaume anampenda kweli.
Nazidi changanyikiwa Mshana Jr[emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
[emoji120][emoji120][emoji120]Nashauri nenda hospital... Hizo za kienyeji si salama sana
Jr[emoji769]
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Inaaminika kwamba ukiwa nacho afya ya mtoto (mdogo mchanga) inadhoofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mshana jr sasa hapa mtu kama huyu vipi anapataje haja kubwa!!
Bila bila
Kinachangia pia lakini kwakuwa sasa umeshapata hii elimu jaribu sasa kuepusha shariMkuu Mla PANYA NA Kaka MSHANA naomba ufafanuzi zaidi. Maana mwanamke wangu anacho. Hatuna matatizo ya watoto ila ugomvi kila siku hauishi. Hatuwezi kukaa wiki kwa amani[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo kikuu cha ugomvi wenu ni hicho tena mwanaume unakuwa huna mapenzi naye sana.Mkuu Mla PANYA NA Kaka MSHANA naomba ufafanuzi zaidi. Maana mwanamke wangu anacho. Hatuna matatizo ya watoto ila ugomvi kila siku hauishi. Hatuwezi kukaa wiki kwa amani[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki hazaliwi mtu nacho bali humuota tu mtu.Vipo internal na external vyote vinatibika.Wataalamu wanadai ni birth defects tu. Ni kama kuwa na kidole cha sita, au vidole mguuni au mikononi kuungana n.k. n.k.
Ila binadamu tuna kawaida ya kaweka tafsiri mbalimbali kwa vitu tusivyovijuwa..
Mkuu ili andiko lako ni 100 % fact kabisa nnao ushahidi usio na mashakaTuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa