Mada za kusisimua hapa JF ambazo ukizisoma unatamani zisiwe na ukomo

Mada za kusisimua hapa JF ambazo ukizisoma unatamani zisiwe na ukomo

Naona zote ni za porojo kama kawaida yetu, nilizani zipo za jinsi ya kupeleka nchi mbele ili watoto wetu waje kuishi maisha bora kuliko sisi, Ila naona ni porojo tupu na nyingi ni za hadithi tu
 
humu kuna nyuzi ukisoma hutaki uishe,ila kuna majibu ya wadau pia ukisoma unacheka balaa
 
Mada yangu pendwa ni Wazee wa Road Trip mpo?lazima nipite humu zaidi ya mara tatu kwa siku, ninajifunza na kuelimika mno yanayojadiliwa ndani ya Mada hii na uzuri wachangiaji wote wanaongelea vitu halisi, mfano mchangiaji akiwa anasafiri ndani ya T1 anapost yale anayoyaona kwa wakati ule sio story za vijiweni kudos kwa mtoa mada hii na salutes kwa wachangiaji wote, hii Mada isifikie mwisho
Inasisimua sana![emoji119][emoji119]
 
Siku ya kwanza kupanda ndege 🤣mnaanzaje kusahau huu uzi na vituko vyake? Mtu anashona suti kwa ajili ya kupanda ndege akifika kwenye ndege anakuta watu hawana habari ndi kwanza wamevaa vitisheti vya kawaida na viatu vya kimasai
 
Uzi bora zipo nyingi, ila mojawapo ni ule wa elezea jinsi ulivyoanza kukaa Ghetto
huu uzi kama unahustle utakuwa inspired sana

wa kufurahisha ni ule wa : ni mauzauza gani ushawahi kukutana nayo barabarani usiku
Ulianza je Kukaa gheto uziwa maana sana
 
Siku ya kwanza kupanda ndege [emoji1787]mnaanzaje kusahau huu uzi na vituko vyake? Mtu anashona suti kwa ajili ya kupanda ndege akifika kwenye ndege anakuta watu hawana habari ndi kwanza wamevaa vitisheti vya kawaida na viatu vya kimasai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu uzi una vituko sana
 
Back
Top Bottom