Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Evelyn Salt, Edelyn, Inna, Khantwe, Sakayo mnaitwa huku mjitetee na kuwatetea Wanawake kuhusu maumbo feki [emoji41]
 
Kwaio martarkor ya poshy yamempeleka bungeni!!???
Maisha yanaend kas sana
 
Km picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu..

Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini km Prof Kabudi, Job Ndugai, Poul Makonda, bila kuwasahau viongozi makini chamani km Polepole na Musiba, kwa hakika Mlimbwende huyu ataongeza chachu ya maendeleo nchini..

Hizi ni baadhi ya picha zake kwa wasiomjua..

Karibu mjengoni na chamani Madaam..View attachment 1130743View attachment 1130745View attachment 1130746
Duuh na kikuku kavaa atorius kabisaa
 
Kwa kweli. ..Yaani bunge lime kuwa kama soko. .kila mtu anaingia tu foolish. ...

Hahah nyinyi endeleeni kujifanya mnafanya vitu serious tu vya msingi ...nchi hii ukifanya mambo ya kipuuzi ndio unapata channel za kufanikiwa maisha
Kama mipumbavu inayoimba mapenzi kila siku badala ya uhalisia wa maisha [emoji16]
 
Back
Top Bottom