interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Huyo wa 3 ndiyo sasa hana tofauti kabisa na yule Baba mwenye nyumba tuliyekuwa tukiishi naye pale kwa Mnyamani, lkn nashukuru sana kunijuza mapema 7bu bado nina umri mdogo nitamwomba Muumba anijalie kupitia Ke mwingine[emoji30][emoji24]Baba zao wameshawalipia [emoji3][emoji3] watoto hawa wote sio wako